Wasabato waishio Ughaibuni kusali Kirumba Desemba 26

Na Kamati ya Mawasiliano

Washiriki wa Kanisa la wa-Adventista wa Sabato waishio Ughaibuni,watakuwa na program maalum Desemba 26 mwaka huu katika Kanisa la wa-Adventista wa Sabato Kirumba Jijini Mwanza
Uongozi wa Kanisa la Kirumba,umethibitisha wageni hao kutoka ng’ambo na nje ya jiji la Mwanza kusali Kirumba na kuendesha program maalum kanisani hapo tangu asubuhi hadi jioni.
Uongozi wa kanisa hilo umewataka washiriki kuwasiliana na uongozi wa kanisa hilo kama kutakuwa na ndugu,rafiki ama mtu yeyyote aliyeko ng’ambo atakayetaka kushiriki program hii adhimu kanisani hapo.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright ©2015 KIRUMBA ADVENTIST CHURCH